Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Nimeona watu wanakula sana sembe hapa.Jifunzeni kula dona.Mkija kupata ugonjwa wa bawasiri msije mkasema kuwa hamkuambiwa!Sembe ni janga la Taifa.
Mimi mpenzi wa njegere,umenitoa mate kinyama nimetamani huo ubwabwa.
😁😁 Karibu sana.Mimi mpenzi wa njegere,umenitoa mate kinyama nimetamani huo ubwabwa.
Kwanini unakula na uma
Hiki ndiyo chakula sasa!😋😋😋Ngama ya ulezi hiyo weka mboga hapo.View attachment 1702553
Napendelea tu...kuna ubaya?Kwanini unakula na uma
Tanga rahaView attachment 1697282
Dagaa mchele wa kukaanga na mihogo ya kukaanga KUMEKUCHA
Hii kitu kaka nmetumiwa na bibi yangu kutoka mkoani imetiwa na unga wa muhogo kidogo sio poa.Hiki ndiyo chakula sasa![emoji39][emoji39][emoji39]
Hakuna ubaya! Hata mimi hutumia umma unless ni supu.Napendelea tu...kuna ubaya?
Salad for days msosi wao uko poa? Maana picha zinavutia ila sijawajaribu
Site ipi hiyo mkuu?Mochwari?🏃🏃🏃View attachment 1702972
Mambo ya site hayo Kama boarding