I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Macho yako tu hayo 😂😂Mkuyenge wa mtu umepikwa nini ? Au macho yangu mabovu, refer nyama iliyopo juu kwenye hii plate 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macho yako tu hayo 😂😂Mkuyenge wa mtu umepikwa nini ? Au macho yangu mabovu, refer nyama iliyopo juu kwenye hii plate 😂
Daaa mkuu umepika mkuyenge?
Ni kuku hiyoDaaa mkuu umepika mkuyenge?
Hiyo nyama vipi..mbona kama dushe la baharia?
Kutema yai ndo huku
ile nyama kule mbona imekaa kama....
Nnachokiona hapo juu aisee! Mbona kama dushe mkuu🤔🤔
Nnachokiona hapo juu aisee! Mbona kama dushe mkuu🤔🤔
Wapi hapa chimbo la wapiiSuper taste!!View attachment 1720362
Wewe dushe umewahi kuliona wapi hadi ujue linavyofanana?Nnachokiona hapo juu aisee! Mbona kama dushe mkuu🤔🤔
angalia kwenye PC utaona vizuriHuu uzi watu washaingiza mawazo machafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mimi naona nyama tu!au ni huu uoni wangu hafifu!?!
Ni wapi nijeeView attachment 1722566asubuh ya mihogo
Nakuonaga mpole kumbe ulishaliona hahahahaNnachokiona hapo juu aisee! Mbona kama dushe mkuu[emoji848][emoji848]
Wewe si hujawahi kuona mti nyama live ndo maana.Huu uzi watu washaingiza mawazo machafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mimi naona nyama tu!au ni huu uoni wangu hafifu!?!
Nani amekudanganya?[emoji23]Wewe si hujawahi kuona mti nyama live ndo maana.
Ngoja nitumie PCangalia kwenye PC utaona vizuri