Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji849]
IMG_54839_095379.jpg
 
Utumbo ni utumbo hauna wingi bali una aina, mfano utumbo mkubwa, utumbo mdogo, utumbo taulo, utumbo bomba, utumbo kitabu nk
Matumbo ni wingi wa neno tumbo (stomach) kwa mfano
Tumbo lake limejaa gesi, matumbo yao yamejaa gesi
Kuna watu wana matumbo makubwa na kuna watu wana matumbo madogo nknk

Hivyo kuviita vile vya ndani 'matumbo' sio Kiswahili sanifu japo majirani zetu ndio wamezoea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimeelewa sasa, shukran
✌️
 
Back
Top Bottom