Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji39][emoji39]
FB_IMG_1620045338320.jpg
 
Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Majina yote yanatumika.

Ila kuna masela hio bamia wanamaanisha kitu ingine. Kuna watu Sio watu [emoji1787]
 
Ahaaa Usinichoke mie kupika sijui hata maharage siwezi....Labda chai tuu [emoji23][emoji23]

Hayo macaroni unaunga tuu sio
Mafuta....vitunguu maji....nyanya basi ?
Iko hivi : Hayo macaroni ni kama tambi au spaghetti zinauzwa kwenye packet zipo plain hazina taste yoyote.

Bahati mbaya mie yameisha hapa ngekupigia picha.

Sasa kupika yake: unayachemsha yenyewe mpka yawive yawe laini kiasi. Then unachuja mana yakiiva huwa yanabaki na maji yale ulochemshia so uyachuje ili yabaki makavu.

Then unapika kama roast la nyama ya kusaga au kuku alonyambuliwa. Kwenye roast sasa ndio unakarangiza ivo vitunguu maji, nyanya, na nyanya ya kopo plus spices kiasi.

Roast likishakolea kadri upendavyo.....unamimina yale macaroni yako ulokwisha yachemsha then unachanganya vizuurrriiii. Chakula tayari kwa kuliwa [emoji28]
 
Back
Top Bottom