Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mboga ya sikukuu ya Idd😄😄😄
2021051164747.jpg
 
Nafkiri inategemea na size.

Mie nilinunua 50 or 60
Au sijui ndio kupigwa kwa wafanyabiashara
Kwa maelezo ya wadau hapa hizo ndio bei zake.
Niliiona video yake mahali nikavutiwa nayo, nashukuru mmenipa mwongozo.
 
Back
Top Bottom