Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20210622_140305.jpg
20210622_140339.jpg
 
Hata tanga zipo kuna siku nilikua na nunua sambusa nikaulizwa za magarage au viazi, yule mama nilimwangalia sijammaliza, nikamwambia mi najua za viazi na nyama tu.
Wakuu mimi leo nawajia na kitafunwa hiki SAMBUSA YA MAHARAGE, naweza kusema: ni Made in Tanzania Mbagala, sababu sidhani kama kuna sehemu yoyote duniani unayoweza kupata SAMBUSA za maharageView attachment 1825428
 
Back
Top Bottom