Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Hivo vijiti unakulaje navyoMwili haujengwi kwa matofali View attachment 1833928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivo vijiti unakulaje navyoMwili haujengwi kwa matofali View attachment 1833928
break fast ya aina yake adi mate yananitoka,napenda kujua upande wa bakuli kuna nini?naona kama icecream vile.
Mtindi kwenye maharage??
Tui la naziMtindi kwenye maharage??
Ati ice cream? 😂 😂 😂 Kopo la chai! 🤣break fast ya aina yake adi mate yananitoka,napenda kujua upande wa bakuli kuna nini?naona kama icecream vile.
Nataka niwe mume mwenza!🙃🙃🙃Ili?
Pale Teknologist anapopika chapati za kitecholojia!🚶🚶🚶
🤣🤣🤣🤣Mtindi kwenye maharage??
mshana naona unafaidi vitu vitamu,from alcohol to super breakfast..😄
Mkuu unajua sana kula kwa afya.Nakuheshimu sana na kukubali sana katika hili.
Mhurumie... 😂 😂 😂
safi sana haya, kipindi flani udogoni kuna student mwenzangu walikua na shamba, sijui kama lakwao mipera kibao[emoji39][emoji39][emoji39]maperaView attachment 1829538
Sema kongolee, usitoe code👊