ney kush
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,407
- 916
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ugali wa parachichiHicho cha kijani ni nini?
boss hii inapatikana wapi?TunaendeleaView attachment 1843687
Umeacha kula parachichi km tunda umelisonga ugali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eh!ndo nasikia leo[emoji3]ugali wa parachichi
ubunifu mkuu wanguUmeacha kula parachichi km tunda umelisonga ugali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eh!ndo nasikia leo[emoji3]
Hii ndo naiona leo jombaa [emoji848][emoji848][emoji848]ugali wa parachichi
Huku kwetu tunaiita "Mukimo"... Mchanganyiko uliopondwa wa mahindi mepesi, maharagwe, viazi, pumpkin leaves(hiyo green colour) dhania, na spices zingine apo. Unaweza ongeza chenye unapenda.Hicho cha kijani ni nini?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂ugali wa parachichi
magimbi mzee umenikumbusha mbali sana ...SONGEA hiyo..... ukitoka hapo nguvu za kulaumu serikali zinakuepo
Mkuu hii Buguruni Euro pub bado inatoa hii huduma ya supu?
Ndondo hilo kuna ubweche nini hapo unarushwa?
OG sana hii mixa
Ndondo hilo kuna ubweche nini hapo unarushwa?
UHAKIKA..SINDIOOG sana hii mixa