Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

giphy.gif
😀😀😀😀mbuzi katolik a.k.a mkuu wa meza
 
Hicho cha kijani ni nini?
Huku kwetu tunaiita "Mukimo"... Mchanganyiko uliopondwa wa mahindi mepesi, maharagwe, viazi, pumpkin leaves(hiyo green colour) dhania, na spices zingine apo. Unaweza ongeza chenye unapenda.
Mostly served na stew yoyote ile, na pia kiporo chake waeza kikaranga kwa kitunguu asubuhi, hutokula mkate tena! 🤣 🤣 🤣 🤣 👌
 
Back
Top Bottom