Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20210717_090024.jpg
 
Kupungua kuzuri ni mazoezi na hakikisha calories unazokula ni chache kuliko unazotoa.

Kama unakula 1000 cal hakikisha unapunguza 1500 cal. Hiyo 500 cal deficit ndo inaleta kupungua kwa mwili in the long run.

Nilikuwa na 90kg. Nikaanza mazoezi ya kukimbia km 15 kila siku kasoro jmosi na jpili.

Ndani ya miezi mitatu nikapungua kama 10kg. Kwa siku nilikuwa nachoma between 1800 - 2000 cal.

Na sikubadili mwenendo wa kula. Nilikuwa nakula hovyohovyo vilevile.

Hizo diet hapo juu zinaweza kukuua huku unajiona.
 
mazoezi ukiacha mwili unarudi pale pale ndiyo ubaya wake.

hapo kwenye kuhesabu Cal nadhani ni best tatizo wengi hatuna elimu ya kujua chakula hiki kina Cal ngapi? Laiti tungejua naamini wengi tungemaintain miili yetu.

Natamani niwe nakula Cal 900 per day.
 
Back
Top Bottom