Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa CHSS huwa napakubali Sana VIP kule juu kuliko hapo ATM.@CHSS CAFETERIA 1 View attachment 1870037
Unanikana mchana kweupe?!😳😳😳
Mimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu😁😁😁Nipe njia sasa nifanyeje! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Maana hutii hasara, huli sana nahisi hata matumizi ya nyumbani yatapungua kwa 50%
Dada yangu Angel Nylon hebu mthaminishe wifi yako mtarajiwa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Hee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unanikana mchana kweupe?![emoji15][emoji15][emoji15]
Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ni msumbufu sana hapa nyumbani ndiyo maana hata umenikana.Sikutaki kabisa hapa nyumbani,huyo jamaa hata akileta Paka mmoja kama mahari yako sawa tu😁😁😁Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jogoo mmoja!!
Hizi ni dharau kwa wazazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hivyo mama anatamani nisiondoke..niendelee kumtunza[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe ni msumbufu sana hapa nyumbani ndiyo maana hata umenikana.Sikutaki kabisa hapa nyumbani,huyo jamaa hata akileta Paka mmoja kama mahari yako sawa tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa akileta Paka unaondoka.[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimecheka Sana
Sina mpango wa kuondoka nyumbani ng'ooo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Jamaa akileta Paka unaondoka.
Matunda, nayakubali!@CHSS CAFETERIA 1 View attachment 1870037
😂 😂 😂Baada ya huo mlo ukijamb@ huo ufyuzi unaotoka harufu yake ni zaidi ya conc. Sulphuric acid dadadadeq!
Sijapenda hapo ulipojifananisha na mbuzi! [emoji848][emoji848][emoji848]Ujue kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Yawezekana kamba yangu ni fupi[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app