Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20210729_133530.jpg
20210729_133552.jpg
 
Sasa matusi sio poa mkuu, watu wako tofauti hii dunia, na vyakula havilingani kamwe, everyone's got his/her own taste na tukiletewa hapa kuviona, mbona sio shida kwangu personally coz ndio tunajifunza tusiyoyajua kuhusu vyakula vya aina mbali mbali duniani. ✌️
Ushauri mzuri,tatizo wengine tunakuja kutafta njaa humu,bila fimbo hatuli.
Sasa mara unakumbana na misosi ya ajabu tena.
Kiujumla ile jana sijala kabisaaa baada ya kuona ile post
 
Ushauri mzuri,tatizo wengine tunakuja kutafta njaa humu,bila fimbo hatuli.
Sasa mara unakumbana na misosi ya ajabu tena.
Kiujumla ile jana sijala kabisaaa baada ya kuona ile post
Hahahaha seriously[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2815]
 
Back
Top Bottom