mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Hicho nahisi sio vile vya 10,000.Vina gharama kidogo labda kama sijakielewa.elfu 10 kariakoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho nahisi sio vile vya 10,000.Vina gharama kidogo labda kama sijakielewa.elfu 10 kariakoo
Constipation sipati.Hata kama ingekuwa ni mifuko mitano ni kumwaga tu kwa sababu faida ni kubwa kuliko hasara[emoji1][emoji1][emoji1]
Unajua kile kiini cha mahindi pamoja na lile ganda lake vina vitu gani ambavyo huwa unavikosa?😄😄😄Constipation sipati.
Nakula matunda na bamia.
Hii style jitahidi sana kuongeza mboga za majani na matunda, otherwise you are in trouble!Yule twin wako(WitnessJ) anaijua sana habari yake.
Navipata kwenye vyakula vingineUnajua kile kiini cha mahindi pamoja na lile ganda lake vina vitu gani ambavyo huwa unavikosa?[emoji1][emoji1][emoji1]
Vyakula gani hivyo?Navipata kwenye vyakula vingine
Si lazima iwe mahindi tu.
Hii style jitahidi sana kuongeza mboga za majani na matunda, otherwise you are in trouble!Yule twin wako(WitnessJ) anaijua sana habari yake.
Labda Daktari kutoka Buza!Mawazo ya kitoto sana
Sembe ni Bora kuliko Dona
Mm m daktari na nime specialize
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimesema kuwa Daktari kutoka Buza siyo Daktari?
Kunitukana haikufanyi kuwa bora bali unaanika ujinga wako na unajithibitishia mwenyewe mbele ya uma kuwa kichwani ni debe tupu.Ww endelea na kampeni za mtko yako ambazo zinaharibu jamii badala ya kujenga
Sent using Jamii Forums mobile app