Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☺☺I like the chocolate colour.
Najua ningekula vizuri,ila sasa kumbe si kula tu,,bali na kujifunza kupika [emoji7]Kwa hiyo huji sababu ulihofia utashinda njaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu[emoji120]Ubarikiwr Sana Saint Anne Kwa kutambua majukumu ya wife material. Unafaa Sana kwa matumizi!
Tunda tamu kweli kweli
Siku hizi mods wanachapa kazi kwelikweli😀 mzee wa chura siku hizi ban zimemuandama balaa.Mod alichafukwa..tulikuwa wengi.. Tulijaribu kumchezea sharubu..akatukazia![]()
![]()
Afu nami nilipika jana jioni, ngoja niweka kapicha.
Safi..[emoji39][emoji39]Afu nami nilipika jana jioni, ngoja niweka kapicha. View attachment 1927837
Sugar ray ulikuwa unaenda KUFANYA nn[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji482]
Unauliza makofi polisi