Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Ugali huo! naupenda ila kuusonga siwezi kabisa dah!
mimi pia siuwezi nautoa na mabuje, nilisongewa na friend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugali huo! naupenda ila kuusonga siwezi kabisa dah!
Inaonekana imeungwa vizuriNdio mkuu. Alinitumia mtu jana kaniambia ni mihogo ya nazi na visamaki hivyo.
Samaki wa kukunja
Naam. Km kawaidaPembeni ASALI hiyo?
Hahaha
Asante
Mwana sjawahi jaribuSikuwah kujua Kama sambusa na supu zinakwendaView attachment 1973712