Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavutia sana.Futar ya maboga na sosi ya nyama + juice ya parachichi na passionView attachment 783932
Ali njanga ujho👆
Unaona sasa.hii kitu Turkey na Ugiriki ipo inaitwa kodoma.Kiasili zaidiView attachment 1986948
Juzi hapo na mzungu wenu wa tandahimba bin kimara bonyokwa
Huwa nikiwa Dar nakuwa sinza, naagiza hiki chakula kinifikie nilipo, worth the wait and money kwa kweli, imagine mtu unalipia elfu tano au 8 ya usafiri tu.
Mshana, anayekupikia hii mboga si mbongo? Na kama ni mbongo tuombee recipe, binafsi nadhani nimefikia umri ambao siwezi kula mboga zenye nyanya. Siku hizi nimejiundia mapishi yangu fulani fulani hivi na ikinilazimu kuweka nyanya naweka moja tu.
Sindo tunapeana appetite kama binti kiziwi na babukijana I think....wanavyoombaga tufanye 🥴☺Hii mambo ya kututamanisha mahanjumati wakati tumepakia ugali kachumbari sio vizuri mjue, mtuonee huruma kidogo nasie tuna moyo....
Haha, Unatuwakilisha vyema katika suala zima la kuleta appetite jukwaa hili, Mimi nimepumzika kidogo, maana nilipo ningetuma picha ya chakula mngecheka sana leo na hizo sahani pia, jana nimekula chakula cha huku, leo nimeshindia cookies na soda.Sindo tunapeana appetite kama binti kiziwi na babukijana I think....wanavyoombaga tufanye 🥴☺