The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Uvivu ukanifanya nile mboga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sindo tunapeana appetite kama binti kiziwi na babukijana I think....wanavyoombaga tufanye 🥴☺
Haha, Unatuwakilisha vyema katika suala zima la kuleta appetite jukwaa hili, Mimi nimepumzika kidogo, maana nilipo ningetuma picha ya chakula mngecheka sana leo na hizo sahani pia, jana nimekula chakula cha huku, leo nimeshindia cookies na soda.
Nitarudi kuleta appetite nikirudi kwangu, kwa sasa wacha niendelee kutamani tu.
Ikawa usiku ikawa asubuhi siku ya pili 😀 itabidi mvumilie tu.Na sie tuliogonga kashata za machicha ya nazi na gahawa ikawa asubuhi ikawa alasiri, siku ikaisha tuseme nini?
We mzee ukorofi huoooo!
Ikawa usiku ikawa asubuhi siku ya pili 😀 itabidi mvumilie tu.
Nyama zipo wapi?
Ukorofi huo na wewe!View attachment 1988665
Hii inaitwa Birian, mtaani ndani ndani huko.
Kuna bidhaa inaenda kwa jina la Mandi...inasumbua kama PGO.
Vyakula vingine ni majanga zaidi.
Hakimu wa hii kesi ni Heaven Sent pekeeUkorofi huo na wewe!
Heaven Sent Mamdogo hebu njoo unaitwa huku.Hakimu wa hii kesi ni Heaven Sent pekee
View attachment 1988665
Hii inaitwa Birian, mtaani ndani ndani huko.
Kuna bidhaa inaenda kwa jina la Mandi...inasumbua kama PGO.
Chini kabisa...haujui ule usemi unasema kula mtori nyama utazikuta chini?
Misuse ya hela hiyo 😟Huwa nikiwa Dar nakuwa sinza, naagiza hiki chakula kinifikie nilipo, worth the wait and money kwa kweli, imagine mtu unalipia elfu tano au 8 ya usafiri tu.
Salad na source yao ni tamu balaa.
Rafiki yangu wewe na hela!Misuse ya hela hiyo 😟