Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ulizoea ni kawaida tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulizoea ni kawaida tu
Kweli kila kitu kinaenda kutokana na mtu alivyozoea.Ulizoea ni kawaida tu
Sana mndele...si unajua Nazi na maziwa pamoja na Ute wa yai ni hatariYanaonekana tu malainiiiii! 😋
Moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba, nane.
Mboga saba ugali kitenesi,, unashiba kweli apo😮
Acha masihara yako, si kuna siku za kula cha nje na siku za kula vya home?
Nimeshiba sasa baada ya kuangalia picha zote..
Uhh saana tuMboga saba ugali kitenesi,, unashiba kweli apo[emoji50]
Tikiti maji na mbegu zake ni dawa kubwa sana ya kuendelea kufanya mambo yawe yente down there.