Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mabonge wote karibuni kitu yenu pendwa😉😉😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwema..mi nipo,mihangaiko tu mzee baba.Mkuu niaje! Habari za kupoteana?
Anakula kitoweo kibichi, yaani bado freshi huku kinacheza cheza
Nauona UROJO.
Kuna visivyozeesha maini? Ndio navitaka hivyo.. Maana ini ndo kila kitu kwenye engineKwa wale wasiopenda kuzeeka haraka hii ni list ya vyakula ambayo inapunguza aging process kwa kiwango kikubwa na kukufanya uonekane kijana hata kama una miaka mingi.
Pia list hii ni nzuri sana katika kuzuia cancer.
View attachment 1998174
Mi nipo poa pia, nazungukia mitaa ilee...Bloom [emoji566] [emoji1474]
Zamani walikua wanachukia watu kula urojo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Nauona UROJO.
![]()
Kwa wale wasiopenda kuzeeka haraka hii ni list ya vyakula ambayo inapunguza aging process kwa kiwango kikubwa na kukufanya uonekane kijana hata kama una miaka mingi.
Pia list hii ni nzuri sana katika kuzuia cancer.
View attachment 1998174
🤗🤗🤗sawa Mzee wa Chura