babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
E bana hao jamaa huko rombo arusha inaelekea wanapiga sana banana gongo,maana hii taarifa inajirudiarudia.
Asanteni kwa kunipa njaa anyway
Asanteni kwa kunipa njaa anyway
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asubuhi yako ilikuwa njema, vyema sanaView attachment 2029116
Nimepika asubuhi nikaja nacho kazini
Viazi vitamu, Kachumbari, kwa pembeni Nanasi.
Mulimpi bananso?mulaile yaniSongela mluna!
Tatizo langu hilo,sidhamirii nachukua kiasi tu naona ntamudu.View attachment 2020733
Sipendi mtu anayepakua chakula kingi halafu akashindwa kukimaliza na badala ya kukibeba anakiacha kwenye sahani na kuwapa shida wengine
Huna akili huna tu,nakula mara 3 kwa wiki akili yangu iko vilevile.Naskia salmon anaongeza akili. Sijui ni kweli
Hii dose hii [emoji295]Kande nimelipika usiku, chai ya maziwa, ubuyu plus vanila
View attachment 2030244
Bora muninyonge ila diet mi siwezi. Na ninavyopenda kula vizuri jamaniHalafu mtu aseme nifanye diet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuvimbiwa ruksa kwenye hii combi
Mkono wangu...View attachment 2027461
Jirani hapo ni kule kwingine nilikuaga. Kwangu sijaanza rasmi. Nitakukaribisha siku mojaUmeanza lini uchoyo jirani? Hata siku moja kunikaribisha hautaki?
Huo mlenda ungekua na sato hapo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Aisee hapo ugali unaenda vizuri sana
Jirani hapo ni kule kwingine nilikuaga. Kwangu sijaanza rasmi. Nitakukaribisha siku moja
Hangover ya maji jirani? Pole sanaAhsante jirani, nikashangaa uchoyo umejifunza lini?
Naendelea kusikilia hangover...of course na mwaliko siku ukianza kuandaa mahanjumat.