Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Viazi vitamu, Kachumbari, kwa pembeni Nanasi.

Safi sana.

1899967_IMG_20181107_092631.jpg
 
Jirani hapo ni kule kwingine nilikuaga. Kwangu sijaanza rasmi. Nitakukaribisha siku moja

Ahsante jirani, nikashangaa uchoyo umejifunza lini?

Naendelea kusikilia hangover...of course na mwaliko siku ukianza kuandaa mahanjumat.
 
Back
Top Bottom