Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinaendana tena sana.
Bibi zetu walikuwa wanajua aina nyingi Sana za mapishi ya kiasili kutilia ndani mboga za majani za kila Sina tukisema tuzitaje hatutamaliza hasa nyie watu wa kanda ya chalinze msata morogoro mpk tanga ...nakumbuka jinsi uyoga wa asilimia ulivyo bomba kuliko huu wa kulimwa leo hiiHome is sweet.. Home is bestView attachment 2055190
Noeli imeanza wadau🌲
Jana usiku wa manane nimeota kuwa umepata gonjwa la bawasiri😁😁😁
Unanitamanisha.
bila shaka hapa ni kwa mganga wa tiba asilia