Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

97042.jpg
 
Home is sweet.. Home is bestView attachment 2055190
Bibi zetu walikuwa wanajua aina nyingi Sana za mapishi ya kiasili kutilia ndani mboga za majani za kila Sina tukisema tuzitaje hatutamaliza hasa nyie watu wa kanda ya chalinze msata morogoro mpk tanga ...nakumbuka jinsi uyoga wa asilimia ulivyo bomba kuliko huu wa kulimwa leo hii
 
Back
Top Bottom