Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahindi mabichi zile ndevu zake ndio zinatengeneza hiiKama kwa wavimba macho ninayoijua ni ile wanayochanganya na Maji wanaweka kwenye chupa kisha wanakunywa kidogo kidogo, Maji yakiisha yanajazwa tena.
Ila hii ya Supu kwangu ni mpya na ni mara yangu ya kwanza kuona
Ahsante kwa darasa KiongoziMahindi mabichi zile ndevu zake ndio zinatengeneza hii
Shoo ya kibabe