Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1645900671641.png
 
Kama kwa wavimba macho ninayoijua ni ile wanayochanganya na Maji wanaweka kwenye chupa kisha wanakunywa kidogo kidogo, Maji yakiisha yanajazwa tena.

Ila hii ya Supu kwangu ni mpya na ni mara yangu ya kwanza kuona
Mahindi mabichi zile ndevu zake ndio zinatengeneza hii
 
Back
Top Bottom