Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelekezeka lakini...,, 🤔😁😁Inabidi nije kwa kweli....naja huko pm naomba uache mlango wazi
Niwe mkweli masomo ya awali naona itabidi urudie rudie maana u r beautiful so nitakuwa kwanza nimedua nd mentally undressing u😜Unaelekezeka lakini...,, 🤔😁😁
Basi tena....ngoja nikutafutie mwalimu mwingine!!!!🤓🤓Niwe mkweli masomo ya awali naona itabidi urudie rudie maana u r beautiful so nitakuwa kwanza nimedua nd mentally undressing u😜
Hapana usifanye hivyo huyo mwengine hawezi kuwa na mvuto kama wewe... Jokes aside nakuja pm unipe siri ya hizo portionsBasi tena....ngoja nikutafutie mwalimu mwingine!!!!🤓🤓
Moja ya vyakula vilivyonishinda. Niliendaga ukweni asbh wameandaa kiporo na mahindi ya kuchemsha na chai haki nikaona hawa wananipima imani mahindi sipendi kiporo ndo kabisaaa
Poleee.Moja ya vyakula vilivyonishinda. Niliendaga ukweni asbh wameandaa kiporo na mahindi ya kuchemsha na chai haki nikaona hawa wananipima imani mahindi sipendi kiporo ndo kabisaaa
🤣🤣🤣🤣🤣 wazee wa kutumia fursaNipende kutoa shukurani za dhati kwa dada Eliza na niseme tu samahani sana kwa kuiba picha ila huu uzi una manufaa nimeupendaView attachment 2240613
Mtakuja mfe aisee. Sasa hapa unashiba nini
Muhindi ndio huu lizzy nibakshie
Kula sana sio sifa....Mtakuja mfe aisee. Sasa hapa unashiba nini
Ukichelewa utakuta nimemaliza 🙂Muhindi ndio huu lizzy nibakshie