Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Finally..Nimepata kibao cha kusukumia.
20220617_113216.jpg
20220617_114730.jpg
20220617_120001.jpg


Nilikuwa natumia sinia na chupa.
 
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo panya kwenye mkate hiyo inaitwa hotdog ni common kwenye migahawa ya wa thailand na wachina bei yake kibongo bongo ni elfu 15.
 
Back
Top Bottom