Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ugali dagaa wa mwanza + bamia na nyanya chungu aise nitamu balaa nilijisikia vzr mno
IMG_20220816_212819_3.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wazee nimefungua restaurant kariakoo hapo, mtaa wa muheza karibuni mniunge mkono ndugu zangu, si lazima kujitambulisha unaweza fika ukapiga msosi ukaondoka, ukiona si mbaya kujuzana si mbaya tukachekiana kama nitakuwepo(sikai saana hapo) ofisini tupige stori mbili 3, JamiiForum ni familia
 
Attachments

  • IMG_20220819_220430.jpg
    IMG_20220819_220430.jpg
    385 KB · Views: 16
  • IMG_20220806_145608.jpg
    IMG_20220806_145608.jpg
    756.8 KB · Views: 15
  • IMG_20220813_162556.jpg
    IMG_20220813_162556.jpg
    1.6 MB · Views: 17
  • IMG-20220819-WA0040.jpg
    IMG-20220819-WA0040.jpg
    70.7 KB · Views: 15
Wazee nimefungua restaurant kariakoo hapo, mtaa wa muheza karibuni mniunge mkono ndugu zangu, si lazima kujitambulisha unaweza fika ukapiga msosi ukaondoka, ukiona si mbaya kujuzana si mbaya tukachekiana kama nitakuwepo(sikai saana hapo) ofisini tupige stori mbili 3, JamiiForum ni familia
Beatuful [emoji7]
 
Nyumbani ni nyumbani tu singida.pure chicken View attachment 2330614
Hawa ndio kuku aliwaponda mmakonde naada ya kukutana na makukuJINGA ya dar(broilers)

Mmakonde alienda mjini, aliporudi kwao kwenye stori wakawa wanaongelea kuku, ndipo kwa sifa akawaambia wenzake
"kuku!!! Kuku N'jini huko, kuku unakula paka N'fupa, sio kuku huku anapigana na nyoka na nyoka anakufa, huyo kuku au zimwi" 😂
 
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki[emoji16][emoji81]. Uku mdudu[emoji241] kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Hivi wilaya ya Kilombero waliikosea nini serikali? Kuanzia pale mto ruaha, ni vumbi tu unaanza mlima udzungwa na vumbi, sijui kidatu, msolwa, sanje, mang'ula, kiberege, ziginali kote huko ni vumbi kidooogo kabla hujafika ifakara kuna kilami katikati, baada ya hapo ni vumbi mpaka ifakara, kwenda huko malinyi, mbingu, mahenge koote huko vumbi tu..
 
Wazee nimefungua restaurant kariakoo hapo, mtaa wa muheza karibuni mniunge mkono ndugu zangu, si lazima kujitambulisha unaweza fika ukapiga msosi ukaondoka, ukiona si mbaya kujuzana si mbaya tukachekiana kama nitakuwepo(sikai saana hapo) ofisini tupige stori mbili 3, JamiiForum ni familia
Mkuu nitakaribia nikirejea dar.
 
Hawa ndio kuku aliwaponda mmakonde naada ya kukutana na makukuJINGA ya dar(broilers)

Mmakonde alienda mjini, aliporudi kwao kwenye stori wakawa wanaongelea kuku, ndipo kwa sifa akawaambia wenzake
"kuku!!! Kuku N'jini huko, kuku unakula paka N'fupa, sio kuku huku anapigana na nyoka na nyoka anakufa, huyo kuku au zimwi" [emoji23]
[emoji23][emoji16] makuku ya dar ni jau huwa nakaaga miez silagi nimekuja home ni mwendo wa mbuzi dona lile lenyewe na kuku wa kienyeji
 
Back
Top Bottom