Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! Asante kwa taarifa.Hahahah ndio maana kiko huku
Hapa inabidi ugali tuongezee yaani mboga zimetulia
Asante mkuuKaribuni chai na mhogo wa kuchemshaView attachment 2402658
hiyo chumvi hapo ya kuweka kwenye juice au??
Ndiyohiyo chumvi hapo ya kuweka kwenye juice au??
Aisee huo mchanganyiko ni noma, ningeanza na kuku [emoji39]Yeah zipe kubwa damu ya mzee
Tamuu[emoji12]
Baadae nitakulipa hii ila ugali hautakuwepoLeo naomba ku share a work of my hands. Karibuni snaView attachment 2429327