Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

318497897_590485936416023_5017519496660241042_n.jpg
 
umeongea point bro mie mwenyewe nishachoka kujipikia mwenyewe nataka nitafute pisi moja inayojuwa mapishi niweke ndani.
Huna mama ntilie hapo jirani au kazini.
Vuta moja weka ndani inakua 2-1 master.
Hamna pisikali inapika siku hizi wakati kina le mutuz wakuwapeleka 5 star hotel hata ya mabwepande wapo
 
Back
Top Bottom