Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Niliyapenda sanaMimi siyapendi kabisa siwezi kula ila napenda kuyapika kwa ajili ya mtoto. Yanapendeza sana ukichanganya na karoti, broccoli na hoho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyapenda sanaMimi siyapendi kabisa siwezi kula ila napenda kuyapika kwa ajili ya mtoto. Yanapendeza sana ukichanganya na karoti, broccoli na hoho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Caramel corn
View attachment 2463224
Hii ni home made
Green beans
🤣 Huyu ni dogo sio mimi. Mimi nakula kwa mkono mama.Hii ni home made
Dada wakishua hadi home unatumia kisu na uma
Hakika umenipa njaa mkuu na hivi sielewi kabisa hapo nimejiongezea na parachichi kwa mawazo.
Naam...
Chief ulipata usingizi kweli?Dinner! Vi dagaa kamba, kasamaki, Dona, kachumbari na mayonnaise Kwa mbalii View attachment 2463818
Hahaa aaha ndio nashtuka Saa hiiChief ulipata usingizi kweli?
Kudadadeki..ngoma hii uliimaliza?Dinner! Vi dagaa kamba, kasamaki, Dona, kachumbari na mayonnaise Kwa mbalii View attachment 2463818
Msosi mzito sana huo kwa muda wa jioni🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️Hahaa aaha ndio nashtuka Saa hii