Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Dagaa nawapenda sana kula na ugali ila nao pia siwatumii sana
Chakula ninachokula sana ni wali maharagwe yenye nazi
Uko ndo nilipozaliwa hunambii kitu kwenye hyo mboga[emoji39]

Credit: JIKONI KWETU
Screenshot_2023-02-07-22-24-59-52_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
 
Nielekeze kidogo
Maana mm nilinunua maziwa yaliyochemshwa
Nikatengeneza parachichi nikaweka na vanilla kidogo naweka kwenye friji kuja kunywa nilitema yote sijui nitakuwa nimekosea wapi ningepata mgeni ingekuwa aibu
Maziwa yaliyochemshwa mchawi wako
 
Wale wabichi wakikaangwa ukinunua wa moto pale kamanga...ni watamu balaa na ugali

Shida inakuja unanunua kisado kizima ukae nacho mwezi ila baada ya wiki 2 zimeisha tena kwa kutafuna tu
[emoji23][emoji23] walisafirishaga kama hao kutoka mwanza kuja dsm walikuwa wengi ilikuwa kila nikizunguka nikirudi nachota nakula ni watam balaaa
 
Back
Top Bottom