Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Area C au wapi?Mihogo point dodoma
Home is best [emoji39][emoji39]Watu humu mnalamba tu asali, mimi bado niko na Njanuary!
View attachment 2511513
Hongereni kwa vyakula vizuri na lishe bora viongozi, inapendeza kuona hali ya upishi na usafi wa hali juu. [emoji122]
—
Samahani naomba recipes za aina ya mboga inayoweza kutumika na chapati ukiachia maharage. Recipes zizingatie sio mtumiaji wa nyama, samaki, dagaa na bidhaa za wanyama.
Shukrani. [emoji120]

🥑 🥑 liko wapi???🥹Watu humu mnalamba tu asali, mimi bado niko na Njanuary!
View attachment 2511513
Kwangu mie napenda ziambatane na .....Hongereni kwa vyakula vizuri na lishe bora viongozi, inapendeza kuona hali ya upishi na usafi wa hali juu. 👏
—
Samahani naomba recipes za aina ya mboga inayoweza kutumika na chapati ukiachia maharage. Recipes zizingatie sio mtumiaji wa nyama, samaki, dagaa na bidhaa za wanyama.
Shukrani. 🙏
Oh! Asante LizzyKwangu mie napenda ziambatane na .....
- Mchuzi wa nyama (minimal viungo - 🥕, Hoho, Garlic, Vitunguu, Nyanya Black pepper & Royco).
Unaweza kukaanga nyama & garlic kisha weka vitunguu. Vikishaiva vizuri weka carrots & hoho alafu vifuatiwe na Chumvi, Royco + Black pepper kabla ya kuweka nyanya kisha supu ya nyama/maji kiasi.
Mincemeat -
Roast ya maini -
Ntakuwekea recipe + picha kesho ama kesho kutwa.
Chapati kama za pale Hindu mandal [emoji7]
Huyo sijui itapitaje koonikitu cha supu ya mende
View attachment 566192
Bwana bwana! Mi bado niko january hata Avo linapatikana kwa mbinde sana 😅🥑 🥑 liko wapi???🥹
Habari..Hongereni kwa vyakula vizuri na lishe bora viongozi, inapendeza kuona hali ya upishi na usafi wa hali juu. 👏