Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Nina addiction na kitimoto na ndizi yeuwiihView attachment 2512244
Ukiwa hasa mikoa ya nyanda za juu kusini hii kitu utakula hadi usande.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina addiction na kitimoto na ndizi yeuwiihView attachment 2512244
Sahihi mkuu Iringa Mbeya Ruvuma bei kidogo imepooza na inapatikana kwa wingi huitaji kuzurura sana kupata machimbo ya kitimotoUkiwa hasa mikoa ya nyanda za juu kusini hii kitu utakula hadi usande.
Ndiyo! Nyama, Samaki na bidhaa zao.Hauli nyama?[emoji15]
😄😄😄😄Safi kabisa turudi kula sasa portion yetu ileee mke wangu🤗
Mbona samaki kaungua?Ongea na watu vizuri, huu msosi ni afu tatu tu. Si mnaziona hizo hapo? [emoji28]
View attachment 2512649
Sababu ni wa afu tatu.Mbona samaki kaungua?
Sahihi mkuu Iringa Mbeya Ruvuma bei kidogo imepooza na inapatikana kwa wingi huitaji kuzurura sana kupata machimbo ya kitimoto
[emoji39][emoji39][emoji39]Uko ndo nilipozaliwa hunambii kitu kwenye hyo mboga[emoji39]
Credit: JIKONI KWETUView attachment 2509796
If ever there is a shortage of food and the government says people should pair up to get food rations, I'm definitely making you my plus one! Once I'm done with my share, I will still have shares in your share....
Talk about thinking ahead 🤣🤣🤣🤣🤣If ever there is a shortage of food and the government says people should pair up to get food rations, I'm definitely making you my plus one! Once I'm done with my share, I will still have shares in your share....
[emoji23]Ongea na watu vizuri, huu msosi ni afu tatu tu. Si mnaziona hizo hapo? [emoji28]
View attachment 2512649