Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Unasagia kwa blender au chopper? Asking for a friend Half american anaweza kopi mwishoe aharibu blendaNayapenda ukichanganya na nyama ya kusaga tamu sana😋😋
Note: Nyama usage mwenyewe home, sio ya kununua ishasagwa.
Hiyo ilinishinda sijui hua wanachanganya vitu gani ladha inakua mbaya