Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mmm umepika mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapo mke huna haja😆😆😆
Ngoja nimtafute kabisa wakula nae sahani moja.🤓
Mmm umepika mwenyewe?
Yes namshukuru sana bi mkubwa alitufunza kipindi anasafiri safiri kikazi miaka hiyo mnabaki na mzee alafu unaambiwa utoe kitu alafu watu 6 wanakuangalia wewe hapo ndo nilipojua kujipikia[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sanaaa
[emoji16][emoji23]
Unyama wa mnyama pendwa [emoji39]
Hayo kwenye vikopo yanauzwa barabarani, yanakuwa tayari tayari kwa kula.Ni hi kitu ishanishinda jamani ina shombo hivii mnaitoaje?
Hayo kwenye vikopo yanauzwa barabarani, yanakuwa tayari tayari kwa kula.
Hiyo harufu wenyewe ndo tunaipenda.🙂Kwa hiyo hapo Haina shombo kabisa