Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Aahahahaa ile sio shombo, ni aroma yake asili....

Mie nimekuzwa nayo haya matunda, nayapenda tangu mdogo.

Vile yana sukari, napatana nayo.
Vitu vichungu na mie mbalimbali, unakula unashiba, ila usizidishe...😅

Sawa kasie nitajaribu tena kuyaonja
 
Img_2023_03_08_11_42_51.jpeg
 
Back
Top Bottom