Data mining
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 406
- 484
Kiazi kitamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale ni kibaruani sio ofisini 😅Mnaruhusiwa kula ofisini?
Kiazi kitamuView attachment 2579310kiazi kitamu ila ukiweka chumvi ndio kinazidi utamuuu
SAwa chiefTunauza mikaa bei rahisi tu, ulizia baada ya miaka 6 upewe branch karibu yako.
Delivery ipo😁
Mpendwa ulivimaliza hvyo vtumbua vyoteAsubuhi ya Leo.View attachment 2579937
Muwe mnatukaribisha, nauli zipo.
Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu..
Siyo ya leo.Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu..
Karibu sana Mbezi mwishoMuwe mnatukaribisha, nauli zipo.
Eeeh kama hivyo muwe mnatoa location mapema tusogee, ukisia geti lagongwa unafungua tule keki, imagine mara ya mwisho kupata keki kipande kikubwa ni miaka zaidi ya 5 imepitaKaribu sana Mbezi mwisho
Nitatoa mapema kabla sijakataEeeh kama hivyo muwe mnatoa location mapema tusogee, ukisia geti lagongwa unafungua tule keki, imagine mara ya mwisho kupata keki kipande kikubwa ni miaka zaidi ya 5 imepita
Tuje na take away kabisa.Nitatoa mapema kabla sijakata
[emoji3059]Tuje na take away kabisa.
Siku ukianza pika kibiashara tushtue tukuchangie kama wana JF
Viliondoka vyote na nikaenda kununua vingine.[emoji1]Mpendwa ulivimaliza hvyo vtumbua vyote
Sawa chief ukiwa overweight utatujuza tukupe ushauri wa therapy ya kupunguza uzitoViliondoka vyote na nikaenda kununua vingine.[emoji1]