Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20230413_134534.jpg
 
Ni vyakula boss wanguuu sema picha ya kupakua mtandaoni haivutii machoni tofauti na picha halisi

Alafu Kwann upakue Mtandaoni mkuu wakati kila siku unakula? [emoji23][emoji23]
Hata hizi tunazopost hapa, zikitokea tu hapa na kwenda kwingine zinakuwa za mtandaoni ujue
Kwamfano hii nilipost Fb sasa hivi ishakuwa ya FB kwakuwa nimeileta huku.. Ile ya pilau nikitoa hapa na kuipost tena si yangu tena chata inasoma JF na kugeuka ya mtandaoni

FB_IMG_1681437462445.jpg
 
Back
Top Bottom