Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20230507_185322.jpg
20230507_191958.jpg
 
Naomba darasa la kupamba
Prestige/kimbo/Mo mpishi 100g
Icing sugar 1box(500g)
Vinegar 1tbsp
Few drops of water depending on your mixture.
.......
Ladha.
Color.

Anza kupiga prestige hadi ilainike kiasi..
Weka icing sugar kwa awamu kidogo,
Changanya
Hadi utakapoona ipo smooth

Ongeza vinegar kiasi pamoja na ladha.

Rangi unayoipenda.

Tenga butter yako kwenye mafungu tofauti,

Chukua butter cream kiasi,changanya na maji na vinegar iwe laini.
Hii unatumia kuweka layer ya kwanza.
Ukishaipakaza unaiacha ikauke.(10min)
Inasaidia kuziba keki vizuri ili isije onekana kwa ndani.
Weka layer ya pili,,
Nyosha kwa scraper/spatula..
Kama huna ,tumia kisu au ruler.
Utaamua kwenda clockwise direction au anticlockwise direction kutegemea na mikono yako ..
Mimi naona anticlockwise ni rahisi kwangu.

Waweza weka maua kwa kutumia nozzle,ama ukaweka vipipi tu kama nivyofanya mimi..
Waweza ongeza balls na mazaga kibao kMa urembo,,nf biscuits,maua,shanga nk.

Hiyo ni kwa buttercream.
 
Thanks dear nitajaribu
 
Back
Top Bottom