Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
☺️☺️We Mwanamke wazazi wako walifanya kazi kubwa sana. Unaimudu vizuri familia yako, Mungu akubariki sana na akuzidishie baraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☺️☺️We Mwanamke wazazi wako walifanya kazi kubwa sana. Unaimudu vizuri familia yako, Mungu akubariki sana na akuzidishie baraka.
Zinavutia mnoo .. hizi zinakutana na kitu gani ili zishuke
Ugali,wali ,chips,ndizZinavutia mnoo .. hizi zinakutana na kitu gani ili zishuke vere wele?
Mi nataka vyoteKila mtu achukue kamoja
Useme lini nikupikie uvipitieMi nataka vyote
June nakuwa MwanzaUseme lini nikupikie uvipitie
Ukija
Sawa utaniambiaJune nakuwa Mwanza
Vipande vidogo sana wakati huko Sangara wakumwaga na bei imepoa
Kuna watu walafiMambo niyapendayoView attachment 2621943
Nimenunua vipande so nikamuambia akate hivyo kama nyamaVipande vidogo sana wakati huko Sangara wakumwaga na bei imepoa