ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Usinune
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 dogo alituibia na wali wake wa twita.Wali unatembea kila mitaa
😂😂 namalizakuna siku nilikuona unaulizia treat box ya pizza hut uskute nayo unapiga mwenyewe😂
Akatuaminisha ni wake daah 😂😂😂😂 dogo alituibia na wali wake wa twita.
NtamchapaaaAkatuaminisha ni wake daah 😂
Kumbe wa twita🤣 bora amekua muwaziNtamchapaaa
Kuna sehemu niliuona jana ndio nikamuuliza akasema aliutoa twita 🤣🤣
Haya ndo mambo, huyo kuku alikua na miaka 2