Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Working from Home

1685098236646.jpeg
 
Urojo na boflo
Kipindi naingia Bongo, nilikuta wenyeji wa jiji wakichukia sana kila wakisikia urojo, sijui walihisi urojo ni kitu gani! 🤷🏾‍♂️
Sahivi kila kona jioni utawakuta wao ndio wamejaa kula urojo! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Nnavyopenda urojo mimi aiseee

Back
Top Bottom