Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiii nitachukua vi3Njoo uchukue kipande chako mwenyewe!!! 🙂View attachment 2635837
Sisi tutakula kwa macho!😁Uwiiiii nitachukua vi3
Nikila mimi nyie mtashibaSisi tutakula kwa macho!😁
Utatuwakilisha vizuri ndo maana nikakubali kula kwa macho 😀Nikila mimi nyie mtashiba
Hapa upate na chai yenye tangawizi na majani ya mdalasini😋😋😋View attachment 2636209
Si ni weekend
Wakuu habarini za humu jukwaa la mapishi?
Naombeni msaada namna ya kukaanga samaki wabichi, Nimenunua samaki wabichi zaidi ya mara 3 lakin kila nikienda geto kuwakaanga nashindwa naishia kuwatupa.
Huwa nafanya hivi; Huwa nanunua wale samaki wakubwa kisha muuzaji ananikatia mfano vipande vitatu vikubwa na kuwatoa yale magamba na kuwaosha vizuri. Mimi nikifika home huwa naweka mafuta kwenye sufuria kisha nawaweka humo lkn huwa nikiwageuza nakuta wameshikana na sufuria then wanaparanganyika [emoji3] , yaani wanageuka bokoboko.
Je huwa nakosea wapi? Nishawahi pia kujaribu kupika mchemsho lkn yanakuwa ni yaleyale.. samaki wanaparanganyika na kuwa bokoboko.
Naombeni msaada wenu tafadhali.
Wanakuwa hawajachina, Ila tu sielewi huwa nakosea wapi.Labda wanakuwa wamechina
Kama wazima nashauri uwakaange kwenye kikaango kipana halafu wasibanane
Mafuta mengi na moto mkali
Usiwageuze mapema waache mpaka wakauke kabisa upande mmoja ndio ugeuze upande mwingine. Akiiva mpaka kukauka kabisa huwa hajishiki chini. Ukimweka kwenye kikaango usiwageuze geuze wewe mwache geuza mara moja tuu akishakauka.Wanakuwa hawajachina, Ila tu sielewi huwa nakosea wapi.
Mwanzoni niliambiwa moto uwe mkali na mafuta yachemke sana, nilifanya hivyo lakini sijafanikiwa chochote. Samaki wanavunjikavunjika/rojeka, hususan nikiwageuza.
Asante, ngoja weekend hii nijaribu tena, na vp kuhusu mchemsho?Usiwageuze mapema waache mpaka wakauke kabisa upande mmoja ndio ugeuze upande mwingine. Akiiva mpaka kukauka kabisa huwa hajishiki chini. Ukimweka kwenye kikaango usiwageuze geuze wewe mwache geuza mara moja tuu akishakauka.
Hapo kwenye mchemsho mh....au unawaacha wanaiva sana hadi wanarojeka halafu unawageuza geuza mno lazima waharibike.Asante, ngoja weekend hii nijaribu tena, na vp kuhusu mchemsho?
Kwanza kabisa hakikisha unawamarinate vizuri, pia kama huwa unaweka tangawizi nyingi jitahidi kupunguzaWakuu habarini za humu jukwaa la mapishi?