Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_9869.jpeg
IMG_9869.jpeg
 
Dyadyaa ndo nn bila kuniita? Em fungua tuone vilivyomo.
Umenikumbusha mbali sana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mie mshipa wa aibu ukiwa off, nakuaga km mwendawazimu.

KFC wana take away sku hizii? Woiiiih
Yap...Wana take away...tena kitambo tu...Nadhani wanachofanya wanaiongezea thamani kila leo...

Next time nitakuita Dogo lake.....Chill.
 
Back
Top Bottom