Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Usizingue 🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had kesho mchanaa, ntakuonesha portion angu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usizingue 🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had kesho mchanaa, ntakuonesha portion angu.
Nimehamia michelin siku hizi...so najaribu kubalance balance kidogo!😶🌫️😁Dr unapambana kumaintain Ile hourglass physique
Huo mchicha mi weza kula peke nikawaachie utumbo wenu
Savanna hiyo si Ni ya wanawake 😊😊
Kwani mi mwanaume?Savanna hiyo si Ni ya wanawake 😊😊
Hapana najuaga ni za wadada Kama nyie 😊 sisi zetu konyagi, Hanson choice e.t.cKwani mi mwanaume?
Mkuu kumbe wewe Ni mpishi mzur
asante sana kakaMkuu kumbe wewe Ni mpishi mzur