Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Tambi mpya
1000264670.jpg
1000264671.jpg
imetubu
 
Wee mbona huleti picha ukila nsansa ilipikwa na karanga plus viazi vitamu

Aahahahhaa umenifikirisha....

Ntafanya jambo moja.... wacha nivute upako wa kupika. Tena ntaiunga na karanga, utapenda mwenyewe na ugali 😋😋😋.

Viazi vitamu ntapika tena vile vya rangi ya orange.
Na vile chakula kwangu ni kama mahaba, usihofu huwa sifanyi ajizi kwenye hayo maeneo mawili. Vitu vinhine vyote ntasubiria ila sio mahaba au chakula...😅😅.

Umenitia hamasa, ngoja nikusanye mahitaji halafu niingie jikoni na kaboka, kikiiva nakuita uje kula...😋😋😋😋.

Ila Mzab bwanaa...😁😁😁😁 eeheheheheee.
 
Back
Top Bottom