Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1740509915547.jpg
 
Nimetamani hizo snickers [emoji39][emoji39]

Yaani hizi zina uraibu. Hapa najiona niko alosto nazo... na naweza jikuta nakula pakti zote 4 kwa wakati mmoja...!! Hadi najionea huruma.
 
Twix na KitKat unazipenda pia?

Ila kuwa mwangalifu usije ukapata kitambi 😀.

Zamani nilikuwa mdau wa KitKat ila Snickers ameshika hatamu na sioni mpinzani wa kumtoa 😋😋.

Twix sijawahi kuzipenda, ina mchanganyiko ambao haujaninogesha.

Aahahahahaa kitambi kinaniogopa, nakitoa barabarani kwenye kukimbiza upepo 😅. Sema pia kuna muda najisahaulisha sitaki kuziendekeza sana, huwa naacha nipate hamu halafu nikifululiza kula naipotezea.

Nilijiwekea namna ya kudhibiti hata mazagazaga mengine.

Halafu nimekumbuka, nilipata chimbo la Biriani sehemu 2 tofauti, moja ilikuwa ya kuku nyingine lamb. It was superb, 😋😋😋😋.

Sikuchukua taswira 🤪.
 
Hahahaa.

Hapa huwa tunagombana wakati mwingine kisa gummy bears 🤣.

Haribo Goldbears na Gatorade is 👏.

IMG_7607.jpeg
 
Hahahaa.

Hapa huwa tunagombana wakati mwingine kisa gummy bears 🤣.

Haribo Goldbears na Gatorade is 👏.

View attachment 3251097

Wait a minute, ushawahi fanya majaribio hizo haribo ukiiweka (kimoja) kwenye kontena la maji halafu ukailaza kwenye friji kesho yake inakuwa kubwa usawa wa kontena uliyoweka? 🤪🤪🤪

Binafsi sijawahi kuzila sijui ladha yake ikoje.

Gatorade, I'll try them one day kisha ntakupa mrejesho 😋.

Aahahahhaa umenikumbusha zamani nilikuwa na tabia ya kunywa fanta au mirinda orange halafu nachukua karanga zilizokaangwa nazimenya maganda kisha nazitumbukiza kwenye soda halafu nakunywa soda ikiisha nakula karanga zilizolowa soda, taaamuuuu eehehehehhee

Ntajaribu hii pia siku moja.

I'll bet on her side akupokonye Haribo azile zote 😅😅😅
 
Back
Top Bottom