Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20250302_200811.jpg

Vurugu linaanzia hapa.....🤪
 
20250302_201521.jpg

Eewaaah....😋😋😋

Bomoa, bomoa, tutajenga keeshoo....!

Ponda mali, kufa kwaja...!!

Raha jipe mwenyewee...!!!

Mbinguni tutapewa miili mipya...!!

Homemade burger and fries, was super duper yummy 😋😍😊.

Glory to the Almighty God 🙏.
 
Nikija kuwatembelea kilingeni, mwambie wifi namimi napendelea msosi kama huo, thamaki, tumboga twa majani na ubwabwa ukikosekana hata dona. Huwa sinaga aleji ya vyakula (saying that while pinching and cracking my fingers, turning left and right, eyes closed, head down and twisting sideways🤪🤪🤪).

Endelea kufaidi mapishi yake washee.
 
Zege kama zege, umelitendea haki.

Namimi napendaga la namna hiyo, lisikauke sana wala lisiwe teke.

Wacha waseme zege linamaliza nguvu za kitandani, ila kuliacha kulila ngumu sana aiseeh.

Huwa napenda siku nikiwa na hamu ya kitu, na muda wa kukiandaa na niwe na njaa; naingia jikoni napika, nakaa mezani nakulaaaa hadi mdomo uchoke kutafuna.

Kuna watao zoom hicho kisu kuona kama watapata taswira yeyote wamtambue binti kiziwi 😅.
 
Hahaha Nimecheka sana!

Kasinde matata.
 
Kwaresma inakuja, sitakuwa na mlo maalum wa kufungua funga, ila ntaweka kile nimependelea kufungua funga nacho.

Ntaanza na saladi aka kachumberi na mkate wa brauni uliopakwa siagi ya karanga.

Kimiminika maji ya baridi yenye barafu.
Day well saved till next 24 hours.
 
Back
Top Bottom