Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh bibi huo si uraibu, ni ulafi kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hizi zina uraibu. Hapa najiona niko alosto nazo... na naweza jikuta nakula pakti zote 4 kwa wakati mmoja...!! Hadi najionea huruma.
Hizi sijawahi kuzipenda kabisaaa.View attachment 3253842
Leo nalipizia enzi za utoto
Kuna samaki ziwa nyasa anaitwa mbasa wanyakyusa wakimpika na ndizi ni chakula hasa.Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mdogo wangu, I miss you btw!
Nikilala nikiota ndio hicho hicho. Yawezekana ugali dagaa 😅Acha kabisa....so kesho ndio jmosi wapika nini kesho nije kula
Pole. Kwetu wengine ni kumbukumbu za utoto uliopotea
Naja na dumu la mtindi wa asas happ nikimaliza kula ugali dagaaa kisamvu pembeni na mtindi wangu naingia kitandani kulala huku kiyoyozi kinapuliza....lazima niote namgegeda mshangazi mmoja wa hapa jfNikilala nikiota ndio hicho hicho. Yawezekana ugali dagaa 😅
😂😂😂😂Naja na dumu la mtindi wa asas happ nikimaliza kula ugali dagaaa kisamvu pembeni na mtindi wangu naingia kitandani kulala huku kiyoyozi kinapuliza....lazima niote namgegeda mshangazi mmoja wa hapa jf
Ukimuhonga mwajuma ndala ndefu hii sahani, kesho anahamia kwako.